Mshukiwa muhimu wa shambulio la
kigaidi la mwezi Novemba mjini Paris ,Mohamed Abrini amekamatwa,vyombo
vya habari vya Ubelgiji vimesema.
Waendesha mashtaka wamethibitsha kwamba watu kadhaa walikamatwa kuhusiana na shambulio hilo la Brussels.

Mohamed Abrini

Mohamed Abrini
Shambulio hilo la Paris mnamo mwezi Novemba liliwaua watu 130.
Vyombo vya habari vinasema kuwa Abrini ambaye amekuwa mafichoni kwa takriban miezi mitano alikamatwa wilayani Anderlecht huko Brussels.
No comments:
Post a Comment